sw_tn/jer/02/20.md

44 lines
937 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa kuwa nilivunja nira yenu mliyokuwa nayo wakati wa kale; Nilivichana vifungo vyako kutoka kwako Lakini bado ulisema, 'Sitamtumikia!'
"Hapo zamani niliwakomboa kutoka utumwani, lakini mlikataa kuniheshimu mimi!"
# tangu ulipopiga magoti katika kila kilima na kuusogelea kila mti wenye majani mabichi, enyi makahaba.
Mlizipigia magoti sanamu na kuziabudu kama mwanamke mzinzi anavyomfanyia mume wake"
# Vifungo
ni minyoror inayotumika kumfunga mtu au mnyama
# kusogelea
kuwa chini
# Lakini mimi mwenyewe niliwapanda kama mzabibu, mbegu iliyokamilika.
Mimi, BWANA, ndiye nilikuanzisha kwa mwanzo mwema."
# niliwapanda
kuweka kwenye ardhi ili kukua
# na kuwa mzabibu usiofaa na mzabibu pori
"umekuwa kama maozea, divai isiyofaa"
# usiofaa
msaliti, mwasi
# dhambi yako ni madoa
"bado una hatia ya kutenda dhambi
# madoa
madoa yanawakilisha ukumbusho wa mara kwa mara wa dhambi ya Waisraeli
# Asema BWANA
Tazama 1:17