# Kwa kuwa nilivunja nira yenu mliyokuwa nayo wakati wa kale; Nilivichana vifungo vyako kutoka kwako Lakini bado ulisema, 'Sitamtumikia!' "Hapo zamani niliwakomboa kutoka utumwani, lakini mlikataa kuniheshimu mimi!" # tangu ulipopiga magoti katika kila kilima na kuusogelea kila mti wenye majani mabichi, enyi makahaba. Mlizipigia magoti sanamu na kuziabudu kama mwanamke mzinzi anavyomfanyia mume wake" # Vifungo ni minyoror inayotumika kumfunga mtu au mnyama # kusogelea kuwa chini # Lakini mimi mwenyewe niliwapanda kama mzabibu, mbegu iliyokamilika. Mimi, BWANA, ndiye nilikuanzisha kwa mwanzo mwema." # niliwapanda kuweka kwenye ardhi ili kukua # na kuwa mzabibu usiofaa na mzabibu pori "umekuwa kama maozea, divai isiyofaa" # usiofaa msaliti, mwasi # dhambi yako ni madoa "bado una hatia ya kutenda dhambi # madoa madoa yanawakilisha ukumbusho wa mara kwa mara wa dhambi ya Waisraeli # Asema BWANA Tazama 1:17