sw_tn/jdg/18/07.md

20 lines
359 B
Markdown

# Laishia
Hili ni jina la mji.
# Hapakuwa na mtu aliyewashinda katika nchi hiyo
"Hapakuwa na adui yeyote aliyeishi kwenye nchi yao na kuwashinda"
# hawakuwa na ushirikiano na mtu yeyote
"hawakuwa na mawasiliano na mtu yeyote wa nje" Hii inamaanisha kuwa walikuwa mbali sana na miji mingine.
# Zora
Hili ni jina la mji.
# Eshtaol
Hili ni jina la mji.