# Laishia Hili ni jina la mji. # Hapakuwa na mtu aliyewashinda katika nchi hiyo "Hapakuwa na adui yeyote aliyeishi kwenye nchi yao na kuwashinda" # hawakuwa na ushirikiano na mtu yeyote "hawakuwa na mawasiliano na mtu yeyote wa nje" Hii inamaanisha kuwa walikuwa mbali sana na miji mingine. # Zora Hili ni jina la mji. # Eshtaol Hili ni jina la mji.