sw_tn/jdg/16/20.md

40 lines
675 B
Markdown

# Wafilisti wako juu yako, Samsoni
Wafilisti wamekuja kukukamata.
# Aliamka
"kuamka"
# Nitatoka nje
"nitatoroka"
# wakamng'oa macho yake
Hiki ni kitendo cha kutoa macho yake.
# Wakampeleka Gaza.
Gaza ni sehemu iliyokuwa chini toka kwenye nyumba waliyomkamata.
# wakamfunga kwa shaba
"wakamfunga kwa kutumia shaba"
# Pingu
Hivi ni vifungo vinavyofungwa mwisho wa minyororo ili kushikilia miguu na mikono ya mfungwa.
# Akisaga ngano
"kusaga ngano kuzunguka duara"
# Jiwe la kusagia
Hili ni jiwe kubwa lenye umbo la duara ambalo hutumika kusagia nafaka. Huwa linazunguswa na wanyama kama ng'ombe au farasi.
# baada ya kunyolewa.
"Baada ya Wafilisti kuzinyoa"