# Wafilisti wako juu yako, Samsoni Wafilisti wamekuja kukukamata. # Aliamka "kuamka" # Nitatoka nje "nitatoroka" # wakamng'oa macho yake Hiki ni kitendo cha kutoa macho yake. # Wakampeleka Gaza. Gaza ni sehemu iliyokuwa chini toka kwenye nyumba waliyomkamata. # wakamfunga kwa shaba "wakamfunga kwa kutumia shaba" # Pingu Hivi ni vifungo vinavyofungwa mwisho wa minyororo ili kushikilia miguu na mikono ya mfungwa. # Akisaga ngano "kusaga ngano kuzunguka duara" # Jiwe la kusagia Hili ni jiwe kubwa lenye umbo la duara ambalo hutumika kusagia nafaka. Huwa linazunguswa na wanyama kama ng'ombe au farasi. # baada ya kunyolewa. "Baada ya Wafilisti kuzinyoa"