sw_tn/jdg/11/12.md

24 lines
414 B
Markdown

# Ni nini mgogoro huu kati yetu?
"Kwa nini kuna mgogoro kati yetu?" Yeftha anamuuliza mfalme kwa nini wana hasira na Israeli.
# Kwa nini umekuja kwa nguvu kuchukua ardhi yetu?
"Kwa nini askari wako wamekuja kuchukua ardhi yetu"
# umekuja kwa nguvu kuchukua
"kuja kuchukua kwa nguvu"
# Arnoni ... Yaboki
Haya ni majina ya mito miwili.
# mpaka Yordani
"Upande mwingine wa mto Yordani"
# Kwa amani
"amani"