# Ni nini mgogoro huu kati yetu? "Kwa nini kuna mgogoro kati yetu?" Yeftha anamuuliza mfalme kwa nini wana hasira na Israeli. # Kwa nini umekuja kwa nguvu kuchukua ardhi yetu? "Kwa nini askari wako wamekuja kuchukua ardhi yetu" # umekuja kwa nguvu kuchukua "kuja kuchukua kwa nguvu" # Arnoni ... Yaboki Haya ni majina ya mito miwili. # mpaka Yordani "Upande mwingine wa mto Yordani" # Kwa amani "amani"