sw_tn/jdg/11/09.md

12 lines
372 B
Markdown

# msimamizi na mkuu
Maneno haya yana maana moja na yanasisitiza ni kwa namna gani Yeftha alikuwa wa muhimu.
# Alipokuwa mbele ya Bwana huko Mizpa, Yeftha akarudia ahadi zote alizozifanya.
"mbele ya Bwana" inamaanisha kuwa alirudia ahadi zake kama kiapo mbele za Bwana.
# ahadi zote alizozifanya
Hizi ni ahadi alizozitoa kwa viongozi wa Gileadi kwa kuwa kiongozi wao.