# msimamizi na mkuu Maneno haya yana maana moja na yanasisitiza ni kwa namna gani Yeftha alikuwa wa muhimu. # Alipokuwa mbele ya Bwana huko Mizpa, Yeftha akarudia ahadi zote alizozifanya. "mbele ya Bwana" inamaanisha kuwa alirudia ahadi zake kama kiapo mbele za Bwana. # ahadi zote alizozifanya Hizi ni ahadi alizozitoa kwa viongozi wa Gileadi kwa kuwa kiongozi wao.