sw_tn/jdg/10/06.md

32 lines
811 B
Markdown

# waliendelea kutenda maovu mbele za Bwana
"waliendelea kufanya mambo ambayo Bwana alisema ni uovu"
# mbele za Bwana
"mbele za Bwana" inawakilisha kitu ambacho Bwana anakifikiria au kuwaza juu ya jambo fulani.
# Maashtoreti
Huu ni wingi wa Ashtoreti aliyekuwa anaabudiwa kama mungu wa uongo kwa namna mbalimbali.
# Wakamsahau Bwana na hawakamsujudia tena
"waliacha kabisa kumwabudu Bwana"
# Wakamsahau Bwana
Kumtii na kumwabudu Bwana inazungumzwa kama kitendo cha watu kumwacha Bwana na kwenda mahali pengine.
# Hasira ya Bwana ikawaka juu ya Israeli
Kitendo cha Bwana kuwa na hasira kinafananishwa na moto uwakao.
# akawauza mikononi mwa Wafilisti na katika mikono ya wana wa Amoni
Bwana akaruhusu Wafilisti na Waamoni wawashinde Waisraeli.
# mkononi mwa
"mkono" unawakilisha nguvu na utawala.