sw_tn/jdg/08/06.md

24 lines
682 B
Markdown

# Je, mikono ya Zeba na Salmuna sasa ipo mikononi mwako?
Viongozi wanatumia swali kusisitiza kuwa Waisraeli bado hawajawakamata Zeba na Salmuna.
# mikono ya Zeba na Salmuna
Hapa "mikono inamaanisha mwili mzima.
# sasa ipo mikononi mwako
"mkono" inawakilisha nguvu na mamlaka.
# Kwa nini tulipe jeshi lako mikate?
Viongozi wanatumia swali hili kusisitiza kuwa hawana sababu yoyote ya kuwapa mkate Waisraeli.
# nitairarua ngozi yenu kwa miiba ya jangwani na michongoma.
Nitatengeneza mjeledi kwa kutumia miiba na michongoma ya jangwani na kuitumia kukupiga"
# Miiba na michongoma
Vipande vyenye ncha kali vinavyokuwepo kwenye miti ambavyo vinaweza kuchoma watu au wanyama.