# Je, mikono ya Zeba na Salmuna sasa ipo mikononi mwako? Viongozi wanatumia swali kusisitiza kuwa Waisraeli bado hawajawakamata Zeba na Salmuna. # mikono ya Zeba na Salmuna Hapa "mikono inamaanisha mwili mzima. # sasa ipo mikononi mwako "mkono" inawakilisha nguvu na mamlaka. # Kwa nini tulipe jeshi lako mikate? Viongozi wanatumia swali hili kusisitiza kuwa hawana sababu yoyote ya kuwapa mkate Waisraeli. # nitairarua ngozi yenu kwa miiba ya jangwani na michongoma. Nitatengeneza mjeledi kwa kutumia miiba na michongoma ya jangwani na kuitumia kukupiga" # Miiba na michongoma Vipande vyenye ncha kali vinavyokuwepo kwenye miti ambavyo vinaweza kuchoma watu au wanyama.