sw_tn/jdg/05/05.md

36 lines
793 B
Markdown

# Taarifa za jumla:
wimbo wa Debora na Baraka kwa kutumia ushairi unaendelea.
# Milima inatetemeka
Imerejea tetemeko la ardhi ili kuonesha kuwa milima inatetemeka kwa sababu inamuogopa Bwana.
# mbele ya uso wa Bwana
"uso" ina maanisha uwepo wa Bwana. "kwenye uwepo wa Bwana"
# hata Mlima Sinai ukatetemeka
Musa na Waisraeli walipokuwa mlima Sinai ulitetemeka. "Hapo zamani hata mlima Sinai ulitetemeka"
# Katika siku za
Hapa "siku" inawakilisha muda mrefu uliopita.
# Shamgari ... Anathi ... Jael
Haya ni majina ya watu.
# Mwana wa Anathi
Baba yake na Shamgari anatajwa ili kusaidia kumtambua Shamgari.
# barabara kuu ziliachwa
"Watu waliacha kutumia barabara kuu kwa sababu waliwaogopa maadaui wa Israeli.
# njia za upepo
Hizi ni njia ndogo ambazo watu wachache walizitumia.