# Taarifa za jumla: wimbo wa Debora na Baraka kwa kutumia ushairi unaendelea. # Milima inatetemeka Imerejea tetemeko la ardhi ili kuonesha kuwa milima inatetemeka kwa sababu inamuogopa Bwana. # mbele ya uso wa Bwana "uso" ina maanisha uwepo wa Bwana. "kwenye uwepo wa Bwana" # hata Mlima Sinai ukatetemeka Musa na Waisraeli walipokuwa mlima Sinai ulitetemeka. "Hapo zamani hata mlima Sinai ulitetemeka" # Katika siku za Hapa "siku" inawakilisha muda mrefu uliopita. # Shamgari ... Anathi ... Jael Haya ni majina ya watu. # Mwana wa Anathi Baba yake na Shamgari anatajwa ili kusaidia kumtambua Shamgari. # barabara kuu ziliachwa "Watu waliacha kutumia barabara kuu kwa sababu waliwaogopa maadaui wa Israeli. # njia za upepo Hizi ni njia ndogo ambazo watu wachache walizitumia.