sw_tn/jdg/03/28.md

44 lines
785 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Ehudi anazungumza na watu wa Israeli huko Efraimu.
# kwa kuwa Bwana atawashinda adui zenu
Bwana aliwasaidia Waisraeli kuwashinda adui zao kama vile Bwana ndiye shujaa anayepigana na kuwashinda adui zao.
# wakakamata vivuko
"Wakamiliki vivuko"
# Vivuko
Sehemu ya mto ambayo ni rahisi kupita kuwenda upande mwingine.
# hawakuruhusu mtu yeyote kuvuka
"hawakuacha mtu yeyote avuke"
# Watu elfu kumi
"watu 10,000"
# Watu wenye uwezo
"watu wenye uwezo wa kupigana vizuri"
# Moabu ilishindwa na nguvu ya Israeli
Hii inaweza kuanza "jeshi la Waisraeli liliwashinda Wamoabu"
# Nguvu ya Israeli
Hapa "nguvu" inawakilisha jeshi la Israeli.
# nchi ilikuwa na amani
Hapa "nchi" inawakilisha watu. "Waisraeli waliishi kwa amani"
# Miaka themanini
"miaka 80"