# Maelezo ya jumla: Ehudi anazungumza na watu wa Israeli huko Efraimu. # kwa kuwa Bwana atawashinda adui zenu Bwana aliwasaidia Waisraeli kuwashinda adui zao kama vile Bwana ndiye shujaa anayepigana na kuwashinda adui zao. # wakakamata vivuko "Wakamiliki vivuko" # Vivuko Sehemu ya mto ambayo ni rahisi kupita kuwenda upande mwingine. # hawakuruhusu mtu yeyote kuvuka "hawakuacha mtu yeyote avuke" # Watu elfu kumi "watu 10,000" # Watu wenye uwezo "watu wenye uwezo wa kupigana vizuri" # Moabu ilishindwa na nguvu ya Israeli Hii inaweza kuanza "jeshi la Waisraeli liliwashinda Wamoabu" # Nguvu ya Israeli Hapa "nguvu" inawakilisha jeshi la Israeli. # nchi ilikuwa na amani Hapa "nchi" inawakilisha watu. "Waisraeli waliishi kwa amani" # Miaka themanini "miaka 80"