sw_tn/jdg/03/07.md

28 lines
751 B
Markdown

# yaliyo mabaya machoni pa Bwana
"machoni mwa Bwana" inawakilisha kitu ambacho Bwana anakifikiria au kuwaza juu ya jambo fulani.
# wakamsahau Bwana, Mungu wao
"kumsahau" ni fumbo lenyhe maana ya "waliacha kumtii"
# hasira ya Bwana ikawaka
Bwana kuwa na hasira inafananishwa na kitu ambacho kinaweza kuwaka moto. "Bwana akakasirika sana"
# akawauza mkononi mwa Kushan-rishathaimu
Akaruhusu wana wa Israeli kutekwa inazungumzwa kama vile Bwana amewauza kwa Kushan-rishathaimu. "Akaruhusu Kushan-rishathaimu na jeshi lake kuwashinda"
# mkononi mwa Kushan-rishathaimu
"mkono" ina maanisha nguvu ya kutawala. pia Kushan-rishathaimu inawakilisha jeshi lake.
# Kushan-rishathaimu
Hili ni jina la mwanaume.
# Aram Naharaimu
Hili ni jina la nchi.