# yaliyo mabaya machoni pa Bwana "machoni mwa Bwana" inawakilisha kitu ambacho Bwana anakifikiria au kuwaza juu ya jambo fulani. # wakamsahau Bwana, Mungu wao "kumsahau" ni fumbo lenyhe maana ya "waliacha kumtii" # hasira ya Bwana ikawaka Bwana kuwa na hasira inafananishwa na kitu ambacho kinaweza kuwaka moto. "Bwana akakasirika sana" # akawauza mkononi mwa Kushan-rishathaimu Akaruhusu wana wa Israeli kutekwa inazungumzwa kama vile Bwana amewauza kwa Kushan-rishathaimu. "Akaruhusu Kushan-rishathaimu na jeshi lake kuwashinda" # mkononi mwa Kushan-rishathaimu "mkono" ina maanisha nguvu ya kutawala. pia Kushan-rishathaimu inawakilisha jeshi lake. # Kushan-rishathaimu Hili ni jina la mwanaume. # Aram Naharaimu Hili ni jina la nchi.