sw_tn/jdg/03/01.md

28 lines
697 B
Markdown

# Sasa Bwana
"sasa" inaonesha mwanzo wa simulizi.
# Mataifa haya
Hili ni kundi la watu wanaozungumzwa katika 3:3.
# ambaye hakushiriki vita yoyote huko Kanaani
Inaweza kuanza kama "ambaye hakupigana vita yoyote huko Kanaani.
# Alifanya hivyo ili kuwafundisha vita kizazi kipya cha Waisraeli ambao hawakujua kabla
Msimuliaji anatoa taarifa kwanini Bwana aliwaacha baadhi ya watu Kanaani. "Bwana aliyaacha mataifa kati ya Israeli ili awafundishe vijana ambao hawakupigana vita"
# Wafalme watano
Wafalme hawa watano wanawakilisha watu wao. "wafalme watano na watu wao"
# Mlima Baali Hermoni
Huu ni mlima mrefu sana Israeli.
# Hamathi
Hili ni jina la eneo kaskazini mwa mpaka wa Kanaani.