# Sasa Bwana "sasa" inaonesha mwanzo wa simulizi. # Mataifa haya Hili ni kundi la watu wanaozungumzwa katika 3:3. # ambaye hakushiriki vita yoyote huko Kanaani Inaweza kuanza kama "ambaye hakupigana vita yoyote huko Kanaani. # Alifanya hivyo ili kuwafundisha vita kizazi kipya cha Waisraeli ambao hawakujua kabla Msimuliaji anatoa taarifa kwanini Bwana aliwaacha baadhi ya watu Kanaani. "Bwana aliyaacha mataifa kati ya Israeli ili awafundishe vijana ambao hawakupigana vita" # Wafalme watano Wafalme hawa watano wanawakilisha watu wao. "wafalme watano na watu wao" # Mlima Baali Hermoni Huu ni mlima mrefu sana Israeli. # Hamathi Hili ni jina la eneo kaskazini mwa mpaka wa Kanaani.