sw_tn/isa/42/16.md

20 lines
642 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# Nitawaleta vipofu kwa njia ambayo hawajui; katika njia ambayo hawaijui nitawaongoza
Misemo hii miwili ina maana moja. "Nitawaongoza vipofu katika njia ambayo hawajui"
# vipofu
Yahwe anazungumzia watu wake kutojiweza kana kwamba hawawezi kuona kwa sababu walikuwa vipofu.
# ambayo hawaijui
Maana zaweza kuwa 1) "ya kwamba hawajawahi kusafiri" au 2) "ambayo hawana uzoefu nao"
# Nitageuza giza kuwa nurur mbele yao
Yahwe anazungumzia watu wake kutojiweza kana kwamba hawakweza kuona kwa sababu walitembea gizani, na kusaidia kwake kana kwamba alisababisha mwanga kung'ara katika giza.