# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza. # Nitawaleta vipofu kwa njia ambayo hawajui; katika njia ambayo hawaijui nitawaongoza Misemo hii miwili ina maana moja. "Nitawaongoza vipofu katika njia ambayo hawajui" # vipofu Yahwe anazungumzia watu wake kutojiweza kana kwamba hawawezi kuona kwa sababu walikuwa vipofu. # ambayo hawaijui Maana zaweza kuwa 1) "ya kwamba hawajawahi kusafiri" au 2) "ambayo hawana uzoefu nao" # Nitageuza giza kuwa nurur mbele yao Yahwe anazungumzia watu wake kutojiweza kana kwamba hawakweza kuona kwa sababu walitembea gizani, na kusaidia kwake kana kwamba alisababisha mwanga kung'ara katika giza.