sw_tn/isa/33/23.md

24 lines
935 B
Markdown

# Kamba zako ni goigoi; haziwezi kushikilia mlingoti mkuu katika sehemu yake; hawawezi kulitandaza tanga
Maana zaweza kuwa 1) jeshi la Ashuru ni kama mtumbwi ambao hauwezi kusogea katikati ya maji: kamba ambazo hushikilia mlingoti mkuu na tanga zimekuwa legevu na hazishiki tena mlingoti mkuu, kwa hiyo tanga halina faida (33:1) au 2) watu wa Yuda hawapo vitani tena. "Umelegeza kamba ambazo zilishikilia nguzo zako za bender; bendera haipepei tena"
# mlingoti mkuu
nguzo ndefu ambazo hushikilia tanga
# tanga
kitambaa kikubwa ambacho hujazwa na upepo na kusogeza mtumbwi katikati ya maji
# mali kubwa iliyoibiiwa itakapogawanywa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "watakapogawanya hazina"
# vilema
Hii ina maana ya watu ambao hawawezi kutembea. "wale ambao ni vilema"
# watu wanaoishi pale watasamehewa kwa udhalimu wao
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe atasamehe dhambi za watu wanaoishi pale"