sw_tn/isa/25/01.md

24 lines
511 B
Markdown

# nitasifu jina lako
Hapa "jina" inawakilisha Yahwe. "ninakusifu"
# vitu vilivyopangwa zamani
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "vitu ulivyovipanga zamani"
# katika uaminifu kamilifu
Nomino dhahania "uaminifu" inaweza kuwekwa kama "mwaminifu". "kwa sababu wewe ni mwaminifu uliye mkamilifu"
# mji ule
Hii haimaanishi mji fulani. Ina maana na miji kwa ujumla.
# ngoma ya wageni
"ngome ambayo ni ya wageni"
# mji wa mataifa katili
Hapa "mji" na "mataifa" inawakilisha watu ambao wanaishi pale.