# nitasifu jina lako Hapa "jina" inawakilisha Yahwe. "ninakusifu" # vitu vilivyopangwa zamani Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "vitu ulivyovipanga zamani" # katika uaminifu kamilifu Nomino dhahania "uaminifu" inaweza kuwekwa kama "mwaminifu". "kwa sababu wewe ni mwaminifu uliye mkamilifu" # mji ule Hii haimaanishi mji fulani. Ina maana na miji kwa ujumla. # ngoma ya wageni "ngome ambayo ni ya wageni" # mji wa mataifa katili Hapa "mji" na "mataifa" inawakilisha watu ambao wanaishi pale.