sw_tn/isa/03/16.md

20 lines
603 B
Markdown

# binti wa Sayuni
Sayuni, ina maana hapa mji wa Yerusalemu, anazungumzia kana kwamba ilikuwa mwanamke na binti zake. "wanawake wa Sayuni"
# na vichwa vyao vikiwa juu
Hii ina maana kwa namna ya majivuno.
# onyesha mapenzi kwa macho yao
Hapa "macho yao" yanawakilisha jinsi wanawaka wanavyowatazama. "wakijaribu kuwafurahisha wanamume kwa namna wanavyowatazama"
# kutembea kwa maringo huku wakienda
"kuchukua hatua ndogo sana wanapotembea"
# na kutoa mlio kama njuga kwa miguu yao
"kwa hiyo bangili katika vifundo vya miguu yao" au "kwa hiyo kengele katika vifundo vya miguu yao zilipiga kelele"