# binti wa Sayuni Sayuni, ina maana hapa mji wa Yerusalemu, anazungumzia kana kwamba ilikuwa mwanamke na binti zake. "wanawake wa Sayuni" # na vichwa vyao vikiwa juu Hii ina maana kwa namna ya majivuno. # onyesha mapenzi kwa macho yao Hapa "macho yao" yanawakilisha jinsi wanawaka wanavyowatazama. "wakijaribu kuwafurahisha wanamume kwa namna wanavyowatazama" # kutembea kwa maringo huku wakienda "kuchukua hatua ndogo sana wanapotembea" # na kutoa mlio kama njuga kwa miguu yao "kwa hiyo bangili katika vifundo vya miguu yao" au "kwa hiyo kengele katika vifundo vya miguu yao zilipiga kelele"