sw_tn/hos/13/04.md

20 lines
391 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anawazungumzia watu wake kama kundi la kondoo linalotangatanga jangwani.
# Nilikujua jangwani
Bwana anasema kuwa Waebrania ni watu wake wa pekee na anawajali.
# Wakati ulipokuwa na malisho, ulishiba
Sura ya kondoo inaendelea kuelezewa.
# moyo wako ukainuliwa
"moyo" unawakilisha utu wa ndani wa mtu.
# ukainuliwa
Kuwa na kiburi inazungumzwa kama kujiinua.