# Taarifa ya jumla: Bwana anawazungumzia watu wake kama kundi la kondoo linalotangatanga jangwani. # Nilikujua jangwani Bwana anasema kuwa Waebrania ni watu wake wa pekee na anawajali. # Wakati ulipokuwa na malisho, ulishiba Sura ya kondoo inaendelea kuelezewa. # moyo wako ukainuliwa "moyo" unawakilisha utu wa ndani wa mtu. # ukainuliwa Kuwa na kiburi inazungumzwa kama kujiinua.