sw_tn/hos/07/01.md

24 lines
527 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# Nataka kuiponya Israeli
Kuifanya Israeli imtii Mungu tena na kitendo cha kupokea baraka kinazungumzwa kama kitendo cha uponyaji.
# kwa sababu wanafanya udanganyifu
Watu walikuwa wanauza na kununua bidhaa kwa udanganyifu.
# kundi la wanyang'anyi
Hili ni kundi la watu wanaowavamia watu wengine bila sababu.
# matendo yao huwazunguka
Haya matendo yao maovu yanafananishwa na watu wanaliotayari kuwashitaki kwa maovu yao.
# yapo mbele ya uso wangu.
"Uso" huu ni uwepo wa Mungu.