# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # Nataka kuiponya Israeli Kuifanya Israeli imtii Mungu tena na kitendo cha kupokea baraka kinazungumzwa kama kitendo cha uponyaji. # kwa sababu wanafanya udanganyifu Watu walikuwa wanauza na kununua bidhaa kwa udanganyifu. # kundi la wanyang'anyi Hili ni kundi la watu wanaowavamia watu wengine bila sababu. # matendo yao huwazunguka Haya matendo yao maovu yanafananishwa na watu wanaliotayari kuwashitaki kwa maovu yao. # yapo mbele ya uso wangu. "Uso" huu ni uwepo wa Mungu.