sw_tn/hos/05/03.md

24 lines
783 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza kuhusu Israeli.
# Najua Efraimu, na Israeli hajajificha kwangu
"Efraimu" na "Israeli" ni watu ambao wanaishi kaskazini mwa ufalme wa Israeli. Hapa Mungu anasema kuwa anawafahamu wao ni akina nani na nini wanafanya.
# Efraimu, sasa umekuwa kama kahaba
Efraimu amesimama kama kahaba kwa sababu watu sio waaminifu kwa Mungu kama vile kahaba sio mwaminifu kwa mwanaume mmoja.
# maana mawazo ya uzinzi yako ndani yao
Hii inamaanisha kuwa wanatamani kutokuwa waaminifu kwa Mungu. Wanataka kuabudu miungu.
# kumgeukia Mungu ... hawatamjua Bwana.
"kunigeukia mimi ... hawakunijua mimi" au "kunigeukia mimi ... hawakunijua mimi, Bwana."
# na hawatamjua Bwana
Israeli hawakumtii tena Mungu kwa namna yoyote. Hawakumtambua Bwana kama Mungu wao.