sw_tn/heb/13/20.md

748 B

Sasa

Hii ni sehemu ya mpya ya barua. Mwandishi hapa anamsifu Mungu na anatoa maombi ya mwisho kwa wasomaji wake.

mchungaji mkuu wa kondoo

Kristo katika jukumu lake la kiongozi na mlinzi wa wale wanaoaminikatika yeye kunaongelewa kana kwamba ni mchungaji wa kondoo.

kwa damu ya agano la milele

"Damu" hapa linasimama kwa kifo cha Yesu, ambacho ni msing kwa agano ambalo litakalodumu milele kati ya Mungu na waumini katika Kristo.

kuwakamilisha katika kufanya kila jambo jema ili kufanya mapenzi yake

"kuwakamilisha" hapa inamaanisha kuwafanya "kuweza" au "kuwafundisha"

afanye kazi ndani yetu

Neno hili "yetu" inamaanisha kwa mwandishi na wasomaji wake.

kwake uwe utukufu milele na milele

ambaye watu wote watamsifu milele