# Sasa Hii ni sehemu ya mpya ya barua. Mwandishi hapa anamsifu Mungu na anatoa maombi ya mwisho kwa wasomaji wake. # mchungaji mkuu wa kondoo Kristo katika jukumu lake la kiongozi na mlinzi wa wale wanaoaminikatika yeye kunaongelewa kana kwamba ni mchungaji wa kondoo. # kwa damu ya agano la milele "Damu" hapa linasimama kwa kifo cha Yesu, ambacho ni msing kwa agano ambalo litakalodumu milele kati ya Mungu na waumini katika Kristo. # kuwakamilisha katika kufanya kila jambo jema ili kufanya mapenzi yake "kuwakamilisha" hapa inamaanisha kuwafanya "kuweza" au "kuwafundisha" # afanye kazi ndani yetu Neno hili "yetu" inamaanisha kwa mwandishi na wasomaji wake. # kwake uwe utukufu milele na milele ambaye watu wote watamsifu milele