sw_tn/heb/13/20.md

24 lines
748 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sasa
Hii ni sehemu ya mpya ya barua. Mwandishi hapa anamsifu Mungu na anatoa maombi ya mwisho kwa wasomaji wake.
# mchungaji mkuu wa kondoo
Kristo katika jukumu lake la kiongozi na mlinzi wa wale wanaoaminikatika yeye kunaongelewa kana kwamba ni mchungaji wa kondoo.
# kwa damu ya agano la milele
"Damu" hapa linasimama kwa kifo cha Yesu, ambacho ni msing kwa agano ambalo litakalodumu milele kati ya Mungu na waumini katika Kristo.
# kuwakamilisha katika kufanya kila jambo jema ili kufanya mapenzi yake
"kuwakamilisha" hapa inamaanisha kuwafanya "kuweza" au "kuwafundisha"
# afanye kazi ndani yetu
Neno hili "yetu" inamaanisha kwa mwandishi na wasomaji wake.
# kwake uwe utukufu milele na milele
ambaye watu wote watamsifu milele