sw_tn/heb/12/22.md

40 lines
1002 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Abeli alikuwa mwana wa mwanamme na mwanamke wa kwanza, Adamu na Eva. Pia Kaini mwana wao alimuua Habili.
# Mlima Sayuni
Mwandishi anaongea Mlima Sayuni, hekalu la mlima Yerusalem kana kwamba lenyewe ilikuwa mbingu, nyumbani kwa Mungu.
# Wamekuja
Wamewasili
# Malaika elfu kumi
"Idadi isiyohesabika ya malaika"
# mzaliwa wa kwanza
Hii inaongea waumini katika Kristo kana kwamba ni wana ambao ni wazaliwa wa kwanza. Hii inasisitiza sehemu yao maalumu na faida kama watu wa Mungu.
# mmesajiliwa mbinguni
"ambao majina yao yameandikwa mbinguni
# mpatanishi wa agano jipya
Hii inamaana Yesu alisababisha agano jipya kuwepo kati ya Mungu na wanadamu
# Mmekamilishwa
"ambao Mungu amewafanya wakamilifu"
# Damu ya kunyunyiza ambayo hunena zaidi kuliko damu ya Habili.
"Damu ya Yesu iliyonyunyizwa ambayo inamaana kubwa zaidi kuliko damu ya Habili, ambaye aliuawa na Kaini"
# damu
damu hapa inasimama kwa kifo cha Yesu, kama damu ya Habili inavyoisimama kwa kifo chake.