sw_tn/heb/12/22.md

1002 B

Maelezo ya Jumla:

Abeli alikuwa mwana wa mwanamme na mwanamke wa kwanza, Adamu na Eva. Pia Kaini mwana wao alimuua Habili.

Mlima Sayuni

Mwandishi anaongea Mlima Sayuni, hekalu la mlima Yerusalem kana kwamba lenyewe ilikuwa mbingu, nyumbani kwa Mungu.

Wamekuja

Wamewasili

Malaika elfu kumi

"Idadi isiyohesabika ya malaika"

mzaliwa wa kwanza

Hii inaongea waumini katika Kristo kana kwamba ni wana ambao ni wazaliwa wa kwanza. Hii inasisitiza sehemu yao maalumu na faida kama watu wa Mungu.

mmesajiliwa mbinguni

"ambao majina yao yameandikwa mbinguni

mpatanishi wa agano jipya

Hii inamaana Yesu alisababisha agano jipya kuwepo kati ya Mungu na wanadamu

Mmekamilishwa

"ambao Mungu amewafanya wakamilifu"

Damu ya kunyunyiza ambayo hunena zaidi kuliko damu ya Habili.

"Damu ya Yesu iliyonyunyizwa ambayo inamaana kubwa zaidi kuliko damu ya Habili, ambaye aliuawa na Kaini"

damu

damu hapa inasimama kwa kifo cha Yesu, kama damu ya Habili inavyoisimama kwa kifo chake.