sw_tn/heb/12/09.md

36 lines
863 B
Markdown

# baba katika mwili
Neno "mwili" hapa linamaanisha mwanadamu.
# kama warudiaji/ wanaotunidhamisha
wanao turudi
# Je hatupaswi hata zaidi kumtii Baba wa kiroho na kuishi?
Mwandishi anatumia swali kusisitiza kwamba wangeweza kumtii Mungu Baba,
# na ishi
"ili kwamba tuishi"
# Baba wa roho
"Baba yetu wa kiroho" au Baba yetu wa mbinguni"
# ili tushiriki utakatifu wake
"ili kwamba tuwe watakatifu kama Mungu alivyo mtakatifu"
# tunda la amani
"Tunda" hapa ni alama na inaongelewa kana kwamba ni mtu aliye katika amani na ambaye alileta amani kwa wengine.
# tunda la utauwa
Utauwa, ni hali ya mtu anaye mtii Mungu, inaongelewa kana kwamba ni tunda linakuwa juu ya mti. Mwandishi hapa anasema kwamba utauwa unaongezeka kama matokeo ya kurudiwa.
# wale waliofundishwa nayo
"wale walio fundishwa kwa kurudiwa." Ambao Mungu amewafundisha kwa kuwarudi."