sw_tn/heb/12/07.md

24 lines
762 B
Markdown

# Vumilia majaribu kama maonyo
"Elewa nyakati wa mateso Mungu hutufundisha nidhamu"
# Mungu anashughulik na ninyi kama ashughulikavyo na wana
Hii inalinganisha unidhamishaji kwa Mungu kwa watu wake kama baba anavyo wanidhamisha watoto.
# wana... mwana
Hiii ina jumuisha wamaume na wanawake, AT: "watoto... mtoto"
# ni mtoto yupi ambaye baba yake hawezi kumrudi?
Mwandishi anatumia swali kuelewesha kwamba ni kawaida kwa kila baba mzuri kuwarudi watoto wake.
# Lakini kama hakuna kurudiwa ambako sisi sote tunashiriki
"Hivyo kama haujapata kurudiwa na Mungu kama anavyowarudi wana wake wote"
# basi ninyi ni haramu na sio wana wake
wale ambao Mungu hawarudi kunaongelewa kana kwamba ni wana ambao wamezaliwa na mwanamke na mwanaume ambao hawajaoana.