sw_tn/heb/12/07.md

762 B

Vumilia majaribu kama maonyo

"Elewa nyakati wa mateso Mungu hutufundisha nidhamu"

Mungu anashughulik na ninyi kama ashughulikavyo na wana

Hii inalinganisha unidhamishaji kwa Mungu kwa watu wake kama baba anavyo wanidhamisha watoto.

wana... mwana

Hiii ina jumuisha wamaume na wanawake, AT: "watoto... mtoto"

ni mtoto yupi ambaye baba yake hawezi kumrudi?

Mwandishi anatumia swali kuelewesha kwamba ni kawaida kwa kila baba mzuri kuwarudi watoto wake.

Lakini kama hakuna kurudiwa ambako sisi sote tunashiriki

"Hivyo kama haujapata kurudiwa na Mungu kama anavyowarudi wana wake wote"

basi ninyi ni haramu na sio wana wake

wale ambao Mungu hawarudi kunaongelewa kana kwamba ni wana ambao wamezaliwa na mwanamke na mwanaume ambao hawajaoana.