# Vumilia majaribu kama maonyo "Elewa nyakati wa mateso Mungu hutufundisha nidhamu" # Mungu anashughulik na ninyi kama ashughulikavyo na wana Hii inalinganisha unidhamishaji kwa Mungu kwa watu wake kama baba anavyo wanidhamisha watoto. # wana... mwana Hiii ina jumuisha wamaume na wanawake, AT: "watoto... mtoto" # ni mtoto yupi ambaye baba yake hawezi kumrudi? Mwandishi anatumia swali kuelewesha kwamba ni kawaida kwa kila baba mzuri kuwarudi watoto wake. # Lakini kama hakuna kurudiwa ambako sisi sote tunashiriki "Hivyo kama haujapata kurudiwa na Mungu kama anavyowarudi wana wake wote" # basi ninyi ni haramu na sio wana wake wale ambao Mungu hawarudi kunaongelewa kana kwamba ni wana ambao wamezaliwa na mwanamke na mwanaume ambao hawajaoana.