sw_tn/heb/11/29.md

469 B

Maelezo ya Jumla:

"wao" ya kwanza ina maanisha Waisraeli, na "wao" ya pili inamaanisha Wamisri na "wao" ya tatu inamaanisha kuta za Yeriko.

Walipita

Waisraeli walipita kupitia Bahari ya Shamu'

Walimezwa

"Maji yaliwameza Wamisri"

walimezwa

"Wamisri walizama ndani ya maji"

Walikuwa wamezunguka kwa siku saba

"Waisrael walitembea kwa kuzunguka kuta kwa siku saba"

Aliwapokea wapelelezi na kuwahifadhi salama

"Aliwaficha wapelelezi ili wawe salama