# Maelezo ya Jumla: "wao" ya kwanza ina maanisha Waisraeli, na "wao" ya pili inamaanisha Wamisri na "wao" ya tatu inamaanisha kuta za Yeriko. # Walipita Waisraeli walipita kupitia Bahari ya Shamu' # Walimezwa "Maji yaliwameza Wamisri" # walimezwa "Wamisri walizama ndani ya maji" # Walikuwa wamezunguka kwa siku saba "Waisrael walitembea kwa kuzunguka kuta kwa siku saba" # Aliwapokea wapelelezi na kuwahifadhi salama "Aliwaficha wapelelezi ili wawe salama