sw_tn/heb/11/29.md

24 lines
469 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
"wao" ya kwanza ina maanisha Waisraeli, na "wao" ya pili inamaanisha Wamisri na "wao" ya tatu inamaanisha kuta za Yeriko.
# Walipita
Waisraeli walipita kupitia Bahari ya Shamu'
# Walimezwa
"Maji yaliwameza Wamisri"
# walimezwa
"Wamisri walizama ndani ya maji"
# Walikuwa wamezunguka kwa siku saba
"Waisrael walitembea kwa kuzunguka kuta kwa siku saba"
# Aliwapokea wapelelezi na kuwahifadhi salama
"Aliwaficha wapelelezi ili wawe salama