sw_tn/heb/11/08.md

32 lines
599 B
Markdown

# Alipoitwa
"pindi Mungu alipomwita"
# alienda kwenye sehemu nje
"Aliacha nyummba yake kwenda kwenye sehemu"
# Nchi ya ahadi
"Nchi ambayo Mungu alimuahidia.
# aliishi katika nchi ya ahadi kama mgeni
"aliishi kama mgeni katika nchi ambayo Mungu alikuwa amemuahidi."
# Warithi wenza
"warith pamoja." Hii inaongea kuhusu Abrahamu, Isaka, na Yakobo kana kwamba walikuwa warithi ambao wangepokea urithi kutoka kwa baba yao.
# Mji ulio na misingi
Mungu anaongelewa kana kwamba ni mbunifu na mjenzi.
# Mtaalam wa ujenzi
Mtu ambaye anaunda majengo.
# mbunifu wa ujenzi
mtu anayebuni majengo