sw_tn/heb/11/08.md

599 B

Alipoitwa

"pindi Mungu alipomwita"

alienda kwenye sehemu nje

"Aliacha nyummba yake kwenda kwenye sehemu"

Nchi ya ahadi

"Nchi ambayo Mungu alimuahidia.

aliishi katika nchi ya ahadi kama mgeni

"aliishi kama mgeni katika nchi ambayo Mungu alikuwa amemuahidi."

Warithi wenza

"warith pamoja." Hii inaongea kuhusu Abrahamu, Isaka, na Yakobo kana kwamba walikuwa warithi ambao wangepokea urithi kutoka kwa baba yao.

Mji ulio na misingi

Mungu anaongelewa kana kwamba ni mbunifu na mjenzi.

Mtaalam wa ujenzi

Mtu ambaye anaunda majengo.

mbunifu wa ujenzi

mtu anayebuni majengo