# Alipoitwa "pindi Mungu alipomwita" # alienda kwenye sehemu nje "Aliacha nyummba yake kwenda kwenye sehemu" # Nchi ya ahadi "Nchi ambayo Mungu alimuahidia. # aliishi katika nchi ya ahadi kama mgeni "aliishi kama mgeni katika nchi ambayo Mungu alikuwa amemuahidi." # Warithi wenza "warith pamoja." Hii inaongea kuhusu Abrahamu, Isaka, na Yakobo kana kwamba walikuwa warithi ambao wangepokea urithi kutoka kwa baba yao. # Mji ulio na misingi Mungu anaongelewa kana kwamba ni mbunifu na mjenzi. # Mtaalam wa ujenzi Mtu ambaye anaunda majengo. # mbunifu wa ujenzi mtu anayebuni majengo