sw_tn/heb/11/05.md

36 lines
950 B
Markdown

# Kwa imani Enoko alichukuliwa juu na hakuonja mauti
Kwa imani Enoko hakufa kwa sababu Mungu alimchukua.
# Tazama Kifo
Kufa.
# Kabla hajachukuliwa juu
"Kabla Mungu hajamchukua juu"
# alikuwa ameshuhudiwa kwamba amempendeza Mungu. Maana dhaaniwa: 1) "Mungu alisema Enoki alikuwa amempendeza," 2) "Watu walisema Henoko alikuwa amempendeza Mungu."
sasa pasipo imani
# Sasa hapa haimaanishi kwamba wakati huu lakini imetumika kuvuta usikivu kwa ajili ya kipengele kinachofuata.
Pasipo imani haiwezekani kumpendeza yeye
# "mtu anaweza kumpendeza Mungu kama tu ana imani katika Mungu"
yeyote ajaye kwa Mungu
# yeyote ajaye kwa Mungu
anayetaka kumwabudu Mungu na kuwa sehemu ya watu wake kunaongelewa kana kwamba ni kuja kwa Mungu. "mtu yeyote anayehitaji kuwa sehemu ya Mungu"
# huwapatia zawadi
"huwapatia wale"
# wale wote wamtafutao
Kujifunza kuhusu Mungu na kufanya juhudi kumtii kunaongelewa kana kwamba mtu anamtafuta mtu mwingine.