# Kwa imani Enoko alichukuliwa juu na hakuonja mauti Kwa imani Enoko hakufa kwa sababu Mungu alimchukua. # Tazama Kifo Kufa. # Kabla hajachukuliwa juu "Kabla Mungu hajamchukua juu" # alikuwa ameshuhudiwa kwamba amempendeza Mungu. Maana dhaaniwa: 1) "Mungu alisema Enoki alikuwa amempendeza," 2) "Watu walisema Henoko alikuwa amempendeza Mungu." sasa pasipo imani # Sasa hapa haimaanishi kwamba wakati huu lakini imetumika kuvuta usikivu kwa ajili ya kipengele kinachofuata. Pasipo imani haiwezekani kumpendeza yeye # "mtu anaweza kumpendeza Mungu kama tu ana imani katika Mungu" yeyote ajaye kwa Mungu # yeyote ajaye kwa Mungu anayetaka kumwabudu Mungu na kuwa sehemu ya watu wake kunaongelewa kana kwamba ni kuja kwa Mungu. "mtu yeyote anayehitaji kuwa sehemu ya Mungu" # huwapatia zawadi "huwapatia wale" # wale wote wamtafutao Kujifunza kuhusu Mungu na kufanya juhudi kumtii kunaongelewa kana kwamba mtu anamtafuta mtu mwingine.